BONDIA nyota wa Tanzania Ibrahim Class ametamba kumchapa mpinzani wake Gustavo Pina Melgarkutoka Mexico katika pambano la kimataifa lililopangwakufanyika Ijumaa (Septemba 30) kwenye ukumbi wa Mlimani City.
Pambano hilo limeandaliwa na kampuni ya MO Boxing, ikiwani mara ya kwanza kwa kampuni hiyo chini ya mfanyabiasharamaarufu, Mohammed Dewji.
Class alisema kuwa baada ya kukaa nje ya ulingo kwa mudamrefu, ameamua kurejea kwa kasi kwa lengo la kutwaa mikandambalimbali ya ngumi za kulipwa nchini.’
Alisema kuwaamejiandaa vyema kwa ajili ya pambano hilo nahatamdharau mpinzani wake kwani anaamini naye amekuja kwaajili ya ushindi. “Najua Melgar ni bondia mzuri lakini si kwakufikia kwangu, nimejiandaa vyema na nimuonyesha jinsi ganiTanzania ina mabondia wazuri na wenye vipaji vikubwa,” alisema Class. Kwa upande wake, Melgar alisema kuwaamekuja kusaka ushindi ili kuboresha rekodi yake katika ngumiza kulipwa.
Mratibu wa pambano hilo kutoka MO boxing Ahmed Seddiqialisema kuwa maandalizi yamekamilika na ambapo kutakuwa namapambano sita ya utangulizi.
Pambano la kwanza la utangulizi litakuwa kati ya bondia nyotawa Ghana, Alfred Lamptey ambaye atapambana na bondiaAbraham Ndauendapo kutoka Namibia huku Juma Chokiakizichapa na bondia wa kutoka Mexico Jose Hernandez ambapo bondia kutoka Kenya Nicholas Mwangi atapimanaubavu na Emmanuel Mwakyembe wa Tanzania.
Pambano lingine litakuwa baina ya bondia Sameer Anwar dhidiya Adam Mrisho huku Mwinyi Mzengelaakizichapana Sabari J na pambano lingine litakuwa baina ya Lulu Kayage dhidi yaSadra Mohamed.
Pambano hayo yamedhaminiwa na kampuni ya Azam TV, Boxer, MO XTRA, Mlimani City, KCB Bank, White Sands Resorts, Bajaj na OTAPP. Kwa upande wake, Mkuu wa Masokona Uhusiano wa benki ya KCB, Christine Mnyenye alisemakuwa wanajisikia fahari kubwa kudhamini mchezo wa ngumi zakulipwa nchini. “Tunajisikia fahari kubwa kudhamini mchezowa ngumi za kulipwa hapa nchini ikiwa si mara etu ya kwanza, tutatumia mchezo huu kutambulisha huduma yetu ya mpya yabima na kuwaomba wadau wa ngumi za kulipwa na watuwengine kujiunga nayo ili kujiwekea kinga na majangambalimbali,”alisema Mnyenye.

Mratibu wa kampuni ya MO Boxing Ahmed Seddiqi(katikati) akiwatambulisha mabondia Ibrahim Class (watatukushoto) na Gustavo Pina Melgar wa Mexico (wa tatu kulia) kuelekea pambano la Ijumaa (Septemba 30) kwenye ukumbi wa Mlimani City. Wa kwanza kushoto ni Fauqiya Shareer wa benkiya KCB akifuatiwa na Ashish Josh wa Bajaj ambapo wa kwanza kulia ni Salim Salim wa JustFit na Mkii wa Masoko naUhusiano wa benki ya KCB Christine Manyenye.
0 comments:
Post a Comment