• HABARI MPYA

        Tuesday, September 27, 2022

        HUYU NDIYE MRITHI WA SENZO MAZINGISA YANGA SC


        YANGA leo imemtambulisha Mzambia, Adre Mtine kuwa Afisa Mtendaji wake Mkuu mpya, akichukua nafasi iliyoachwa na Senzo Masingiza, raia wa Afrika Kusini aliyejiuzulu miezi miwili iliyopita. Mtine amesaini mkataba wa miaka miwili.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: HUYU NDIYE MRITHI WA SENZO MAZINGISA YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry