• HABARI MPYA

        Wednesday, September 14, 2022

        BAYERN MUNICH YAICHAPA BARCELONA 2-0


        WENYEJI. Bayern Munich imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Barcelona katika mchezo wa Kundi C Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich.
        Mabao ya Bayern Munich yamefungwa na Lucas Hernandez dakika ya 50 na Leroy Sane dakika ya 54, siku ambayo mshambuliaji Robert Lewandowski alishindwa kutamba mbele ya timu yake ya zamani.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: BAYERN MUNICH YAICHAPA BARCELONA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry