KLABU ya Azam FC inatarajiwa kwenda Jijini Ndola nchini Zambia kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Septemba 23, mwaka huu. Mchezo huo unakuja kufuatia mwaliko maalum walioupata kutoka kwa miamba hiyo ya Afrika, ambao wako kambini jijini humo wakijiandaa na msimu mpya. Kikosi cha Azam FC, kinatarajia kusafiri kuelekea nchini humo, Alhamisi kwa ajili ya kwenda kucheza mchezo huo, ambao ni kipimo tosha kwao katika kujiandaa na mechi za Kombe la Shirikisho Afrika.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment