• HABARI MPYA

        Friday, September 09, 2022

        ARSENAL YASHINDA 2-1 UGENINI EUROPA LEAGUE


        TIMU ya Arsenal imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, FC Zürich katika mchezo wa Kundi A UEFA Europa League jana Uwanja wa Kybunpark mjini St. Gallen.
        Mabao ya Arsenal yamefungwa na Marquinhos dakika ya 16 na Eddie Nketiah dakika ya 62, wakati la FC Zurich limefungwa na Mirlind Kryeziu kwa penalti dakika ya 44.


        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: ARSENAL YASHINDA 2-1 UGENINI EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry