
Friday, September 30, 2022

BAO pekee la Jeremiah Juma dakika ya 46, limeipa Tanzania Prisons ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara...
MECHI ZA AZAM, SIMBA NA YANGA ZAAHIRISHWA
Friday, September 30, 2022
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeahirisha mechi tatu za Ligi Kuu ya Tanzania Bara ili kuzipa nafasi Azam, Simba na Yanga katika mechi z...
YANGA SC YAICHAPA MBUNI YA ARUSHA 2-1 KIGAMBONI
Friday, September 30, 2022
VIGOGO, Yanga jana wamecheza mechi ya kirafiki kambini kwao, Avic Town na kuichapa Mbuni ya Arusha 2-1, mabao yao yalifungwa na Fiston Kalal...
Thursday, September 29, 2022
RUVU SHOOTING YAIBAMIZA COASTAL UNION 2-1 DAR
Thursday, September 29, 2022
WENYEJI, Ruvu Shooting wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Uhuru Ji...
DODOMA JIJI YAZINDUKA, YAILAZA GEITA GOLD 1-0
Thursday, September 29, 2022
WENYEJI, Dodoma Jiji FC wamepata ushindi wa kwanza wa msimu katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa Geita Gold 1-0, bao pekee la...
IBRAH CLASS YUKO TAYARI KUMCHAKAZA MMEXICO KESHO MLIMANI
Thursday, September 29, 2022
BONDIA wa Tanzania Ibrahim Class anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa mpinzani wake kutoka Mexico, Gustavo Pina katika pambano la kimata...
MOGELLA AKIMTAMBULISHA MOGELLA SIMBA SC 1991
Thursday, September 29, 2022
NAHODHA wa Simba mwaka 1991, Zamoyoni Mogella akimtambulisha mchezaji mwenzake, Method Mogella (sasa marehemu) kwa Waziri Mkuu na Makamu wa ...
MAREHEMU KIZOTA NA ISSA WAKIWA WILLY MARTIN YANGA 1993
Thursday, September 29, 2022
WACHEZAJI wa Yanga SC mwaka 1993, kutoka kushoto, Said Nassor Mwamba 'Kizota' (marehemu), Willy Martin Mwakagonda 'Gari Kubwa...
SIMBA SC KUMCHUKULIA HATUA DEJAN KWA KUVUNJA MKATABA KIBABE
Thursday, September 29, 2022
KLABU ya Simba imesema itamchukulia hatua mshambuliaji wake Mserbia, Dejan Georgejevic kwa kitendo cha kuvunja mkataba kinyume cha utararibu...
OKRAH APIGA MBILI SIMBA YAICHAPA KIPANGA 3-0
Thursday, September 29, 2022
KLABU ya Simba imekamilisha ziara yake ya mechi za kirafiki visiwani Zanzibar kwa ushindi wa 3-0 dhidi ya Kipanga usiku wa Jumatano Uwanja w...
Wednesday, September 28, 2022
TANZANIA YAPATA USHINDI WA KWANZA SOKA LA UFUKWENI COSAFA
Wednesday, September 28, 2022
TANZANIA imekaza msuli na kupata ushindi wa kwanza kwenye michuano ya Soka la Ufukweni ya COSAFA baada ya ushindi wa 5-2 dhidi ya Mauritius ...
IBRAH CLASS ATAMBA KUMCHAPA BONDIA WA MEXICO
Wednesday, September 28, 2022
BONDIA nyota wa Tanzania Ibrahim Class ametamba kumchapa mpinzani wake Gustavo Pina Melgar kutoka Mexico katika pambano la k...
MSHAMBULIAJI MSERBIA, DEJAN ATANGAZA KUONDOKA SIMBA SC
Wednesday, September 28, 2022
MSHAMBULIAJI Mserbia, Dejan Georgejevic ametangaza kuondoka Simba baada ya kuvunjiwa mkataba na klabu hiyo. “ Ninathibitisha kwamba Mkataba ...
ALLY KAMWE AFISA HABARI MPYA YANGA SC
Wednesday, September 28, 2022
MCHAMBUZI na Mwandishi wa Habari wa Azam Tv, Ally Kamwe ameteuliwa kuwa Afisa Habari wa klabu ya Yanga, nafasi iliyoachwa wazi na Hassan Bum...
TAIFA STARS YACHAPWA 2-1 NA LIBYA JIJINI BENGHAZI
Wednesday, September 28, 2022
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imechapwa mabao 2-1 na wenyeji, Libya katika mchezo wa kirafiki usiku wa Jumanne Uwanja wa Modern Jij...
Tuesday, September 27, 2022
HUYU NDIYE MRITHI WA SENZO MAZINGISA YANGA SC
Tuesday, September 27, 2022
YANGA leo imemtambulisha Mzambia, Adre Mtine kuwa Afisa Mtendaji wake Mkuu mpya, akichukua nafasi iliyoachwa na Senzo Masingiza, raia wa Afr...
Monday, September 26, 2022
SHABIKI WA SIMBA, MAN UNITED ASHINDA SH. MILIONI 49.8 ZA 10BET
Monday, September 26, 2022
SHABIKI wa klabu ya Simba na timu ya Manchester United Derick Mustafa, ameshinda Sh49.8 milioni baada ya kubashiriki kwa kwa usahihi mechi 1...
TANZANIA YAENDELEA KUBORONGA SOKA LA UFUKWENI COSAFA
Monday, September 26, 2022
TANZANIA imeendelea kufanya vibaya kwenye michuano ya Soka la Ufukweni ya COSAFA baada ya leo kuchapwa mabao 4-3 na Misri katika ufukwe wa S...
TANZANIA YAITOA SUDAN KUSINI KWA MABAO YA UGENINI AFCON U23
Monday, September 26, 2022
TANZANIA imefanikiwa kusonga mbele katika kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 23 licha...
MAYELE APIGA MBILI, YANGA YASHINDA 4-1 KIGAMBONI
Monday, September 26, 2022
KLABU ya Yanga jana asubuhi imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Eagle Air Force ya Daraja la Nne katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa A...
TWAHA KIDUKU AMTWANGA BONDIA WA MISRI MTWARA
Monday, September 26, 2022
BONDIA Twaha Kassim Rubaha juzi usiku alimshinda Abdo Khalid wa Misri Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara na kutetea ubingwa wa UBO Afr...
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA FUMO FELICIAN
Monday, September 26, 2022
Sunday, September 25, 2022
SIMBA SC YAICHAPA MALINDI 1-0 MECHI YA KIRAFIKI ZANZIBAR
Sunday, September 25, 2022
BAO pekee la Nassor Kapama dakika ya 13 limetosha kuipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Malindi katika mchezo wa kirafiki Uwanja w...
TANZANIA YACHAPWA 4-2 NA UGANDA MICHUANO YA COSAFA
Sunday, September 25, 2022
TANZANIA imechapwa mabao 4-2 na Uganda katika mchezo wa Soka la Ufukweni michuano ya COSAFA inayoendelea katika ufukwe es South Beach Arena ...
TAIFA STARS YAICHAPA UGANDA 1-0 BAO LA MSUVA
Sunday, September 25, 2022
BAO pekee la Simon Happygod Msuva dakika ya 28 limeipa Tanzania ushindi wa 1-0 dhidi ya Uganda katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa usiku ...
Saturday, September 24, 2022
SERENGETI BOYS YAICHAPA SUDAN KUSINI 1-0 KARATU
Saturday, September 24, 2022
TIMU ya taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Sudan Kusini katika mchezo wa kirafiki...
Friday, September 23, 2022
TANZANIA YATOA SARE 0-0 NA SUDAN KUSINI CHAMAZI KUFUZU AFCON U23
Friday, September 23, 2022
TANZANIA imelazimishwa sare ya bila kufungana na Sudan Kusini katika mchezo wa kwanza Raundi ya Awali kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya ...
AZAM FC YATOA SARE 1-1 NA TP MAZEMBE NDOLA
Friday, September 23, 2022
TIMU ya Azam FC imetoa sare ya kufungana bao 1-1 na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika mchezo wa kirafiki leo Uwanj...
Thursday, September 22, 2022
KARIA, NYAMLANI NA BARBARA WAULA CAF
Thursday, September 22, 2022
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limewateua Watanzania wanne katika Kamati zake tofauti, akiwemo Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na...
MORRISON AFUNGIWA MECHI TATU, ARAJIGA KIKAANGONI
Thursday, September 22, 2022
WINGA Mghana wa Yanga, Bernard Morrison amefungiwa mechi tatu kwa kumchezea rafu mchezaji wa Azam FC, Lusajo Mwaikenda katika mechi baina ya...
SIMBA SC WAENDA ZANZIBAR KUCHEZA MECHI ZA KIRAFIKI
Thursday, September 22, 2022
KIKOSI cha Simba kinatarajiwa kuondoka kesho kwenda Zanzibar kwa ajili ya michezo miwili ya kirafiki kipindi huku cha mapumziko ya Ligi Kuu ...
MAKOCHA WOTE WA CHAMPIONSHIP WATAKIWA KUWA NA DIPLOMA C YA CAF
Thursday, September 22, 2022
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kimeagiza makocha wote wa timu za Championship wawe na Daraja la Elimu ya Diploma C ya Shirikisho la Soka ...
Subscribe to:
Posts (Atom)