• HABARI MPYA

        Saturday, August 20, 2022

        TFF YAWAPA POLE YANGA KWA MSIBA WA SHABIKI WAO


        SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetoa pole kwa klabu ya Yanga kufuatia kifo cha shabiki wake mmoja kwenye ajali ya gari akiwa safarini na wenzake kwenda Arusha kwenye mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: TFF YAWAPA POLE YANGA KWA MSIBA WA SHABIKI WAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry