WENYEJI. Simba SC wameanza vyema Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Geita Gold usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba SC leo yamefungwa na winga Mghana, Augustine Okrah dakika ya 37 na Wazambia, mshambuliaji, Moses Phiri dakika ya 61 na kiungo Clatous Chama kwa penalti dakika ya 81. Ushindi ni sawa na kupoza maumivu kwa mashabiki wa timu hiyo baada ya kuchapwa 2-1 na watani, Yanga katika mechi ya Ngao ya Jamii Jumamosi hapo hapo Mkapa.
Yaani mwakauu yanga wajiandae kupokea kichapo wasione wameshinnda kwenye ngao ya isani sisi tumewaachia tu ''idrisa rashidi akalama nikiwa mnolela Lind
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
1 comments:
Yaani mwakauu yanga wajiandae kupokea kichapo wasione wameshinnda kwenye ngao ya isani sisi tumewaachia tu ''idrisa rashidi akalama nikiwa mnolela Lind
Post a Comment