PSG YAITWANGA NANTES 4-0 KUTWAA TAJI LA MABINGWA UFARANSA
TIMU ya Paris Saint-Germain imefanikiwa kutwaa Taji la Mabingwa Ufaransa, maarufu kama Champions Trophy baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Nantes Jumapili Uwanja wa Bloomfield Jijini Tel-Aviv nchini Israel. Mabao ya PSG yamefungwa na Lionel Messi dakika ya 22, Neymar mawili dakika ya 45 na ushei na lingine dakika ya 82 kwa penalti, wakati la tatu limefungwa Sergio Ramos dakika ya 57.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment