MSHAMBULIAJI Mbrazil, Neymar ameendelea kung'ara katika Ligi ya Ufarans abaada ya kufunga mabao mawili jana Paris Saint-Germain FC ikiichapa Montpellier 5-2 kwenye mchezo wa Ligue 1 Uwanja wa Parc des Princes Jijini Paris. Neymar alifunga kwa penalti dakika ya 43 na lingine dakika ya 51, wakati mabao mengine ya PSG yalifungwa na Kylian Mbappe dakika ya 69, na mchezaji mpya Renato Sanches dakika ya 87 huku ya Montpellier Wahbi Khazri dakika ya 58 na Enzo Gianni Tchato dakika ya 90.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment