• HABARI MPYA

        Wednesday, August 24, 2022

        GEITA GOLD YAWASAJILI NTIBANZOKIZA NA LUIZIO

         
        KLABU ya Geita Gold imejiimarisha kwa kusajili wachezaji wawili wazoefu, kiungo Mrundi Saido Ntabanzokiza na mshambuliaji mzawa, Juma Luizio.
        Ntibanzokiza anajiunga na Geita Gold baada ya misimu miwili ya kuichezea Yanga, wakati Luizio anatokea Mbeya City.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: GEITA GOLD YAWASAJILI NTIBANZOKIZA NA LUIZIO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry