AZAM FC YATOKA NYUMA KUICHAPA KAGERA SUGAR 2-1 CHAMAZI
WENYEJI, Azam FC wametoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa kuhitimisha Raundi ya kwanza ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Mabao ya Azam FC yamefungwa na mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube dakika ya 17 na chipukizi Tepsie Evans dakika ya 58 baada ya Kagera Sugar kutangulia na bao la Anuary Jabir dakika ya 10.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment