
Wednesday, August 31, 2022

KLABU ya Simba imekamilisha mechi zake za kirafiki nchini Sudan kwa kuchapwa 1-0 na wenyeji, El Hilal usiku huu Uwanja wa El Hilal mjini Kha...
BOCCO AONGEZWA TAIFA STARS KUIVAA THE CRANES JUMAMOSI
Wednesday, August 31, 2022
MSHAMBULIAJI wa mkongwe wa Simba SC, John Raphael Bocco ameongezwa kwenye kikosi cha timu ya taifa kuelekea mchezo wa marudiano na Uganda ku...
AZAM FC 3-0 ARTA SOLAR (MECHI YA KIRAFIKI)
Wednesday, August 31, 2022
CHELSEA YATANGULIA, YALALA 2-1 KWA SOUTHAMPTON
Wednesday, August 31, 2022
WENYEJI, Southampton jana wametoka nyuma na kuichapa Chelsea mabao 2-1 Uwanja wa St Mary's. Raheem Sterling alianza kuifungia Chelsea da...
MORRISON NA BIGIRIMANA WAFUNGA YANGA YAICHAPA KMC 2-1 KIGAMBONI
Wednesday, August 31, 2022
MABINGWA wa Tanzania, Yanga jana wameichapa KMC 2-1 katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Avic Town, Somangira, Kigamboni nje kidogo ya Jiji l...
KOCHA KASEJA AKIWANOA MAKIPA WA TAIFA STARS KUIKABILI TENA UGANDA
Wednesday, August 31, 2022
KOCHA mpya wa makipa wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Juma Kaseja akiwaelekeza walinda mlango Aishi Manula, Abutwalib Mshery na Be...
NAMUNGO, MBEYA CITY, PRISONS NA IHEFU ZAREJEA VIWANJA VYA NYUMBANI
Wednesday, August 31, 2022
BODI ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) imeziruhusu klabu za Mbeya City, Tanzania Prisons, Ihefu SC na Namungo FC kutumia viwanja...
DUBE, EDINHO NA MBOMBO WAFUNGA AZAM YAWAPIGA WADJIBOUTI 3-0
Wednesday, August 31, 2022
WENYEJI, Azam FC jana waliichapa Arta Solar ya Djibouti mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya J...
Tuesday, August 30, 2022
USHINDI DABO DABO NA PARIMATCH
Tuesday, August 30, 2022
KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha Parimatch mara baada ya kumaliza kufanya uzinduzi mkubwa wa kuidhamini Klabu ya Mbeya City inayoshiriki ...
SIMBA SC 4-2 ASANTE KOTOKO (MECHI YA KIRAFIKI SUDAN)
Tuesday, August 30, 2022
TANZANIA 0-1 UGANDA (KUFUZU CHAN)
Tuesday, August 30, 2022
MAHOJIANO BIN ZUBEIRY NA MRISHO NGASSA
Tuesday, August 30, 2022
REFA WA YANGA NA COASTAL ARUSHA AFUNGIWA
Tuesday, August 30, 2022
REFA Raphael Ikambi wa Morogoro ameondolewa kwenye orodha ya waamuzi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mizinguko mitatu kufuatia kushindwa ku...
Monday, August 29, 2022
TWIGA STARS WAENDA AFRIKA KUSINI KUTETEA KOMBE LA COSAFA
Monday, August 29, 2022
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars kimeondoka leo kuelekea Afrika Kusini kwenye mashindano ya COSAFA, wao wakiwa ni mabingwa ...
TFF YAMFUTA KAZI KIM POULSEN TAIFA STARS
Monday, August 29, 2022
SHIRIKISHO la Soka la Tanzania (TFF) limemuondoa kocha wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mdenmark Kim Poulsen kufuatia matokeo mabaya. Hatua hi...
AZAM FC YAWAONDOA MAKOCHA WASOMALI WOTE WAWILI
Monday, August 29, 2022
KLABU ya Azam FC imeondoa kazi makocha wake wawili, Wamarakani wenye asili ya Somalia, Abdihamid Moallin, na msaidizi wake, Omary Nasser. Ta...
Sunday, August 28, 2022
SIMBA SC YAITANDIKA ASANTE KOTOKO 4-2 SUDAN
Sunday, August 28, 2022
TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa 4-2 dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Al Hilal mjini Khartoum ...
TAIFA STARS MGUU NJE CHAN, YACHAPWA 1-0 NA UGANDA DAR
Sunday, August 28, 2022
TANZANIA imejiweka kwenye nafasi ngumu ya kufuzu Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya kuchapwa 1-0 na Uganda jioni ya leo...
RAIS SAMIA AIPONGEZA SIMBA QUEENS KUTWAA UBINGWA CECAFA
Sunday, August 28, 2022
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ameipongeza timu ya Simba Queens kwa kutwaa taji la Klabu ya Wanawake Afri...
ARSENAL YAICHAPA FULHAM 2-1 EMIRATES
Sunday, August 28, 2022
WENYEJI, Arsenal jana wameichapa Fulham FC mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates Stadium Jijijni London. Mabao ...
AZAM FC YATOA SARE 0-0 NA JANG'OMBE BOYS AMAAN
Sunday, August 28, 2022
KATIKA kujiandaa na mchezo wao ujao wa Ligi Kuu dhidi ya mabingwa watetezi, Yanga SC – timu ya Azam FC jana imelazimishwa sare ya bila kufun...
SIMBA QUEENS MABINGWA WA CECAFA 2022
Sunday, August 28, 2022
TIMU ya Simba Queens imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati kwa Wanawake baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya She Corporates ya...
Saturday, August 27, 2022
HAALAND APIGA HAT-TRICK MAN CITY YAICHAPA CRYSTAL PALACE 4-2
Saturday, August 27, 2022
WENYEJI, Manchester City wametoka nyuma na kuichapa Crystal Palace mabao 4-2 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad Jijini Ma...
LIVERPOOL YAIKANDAMIZA BOURNEMOUTH 9-0 ANFIELD
Saturday, August 27, 2022
WENYEJI, Liverpool wameibamiza AFC Bournemouth mabao 9-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield na kupoza machungu ya ki...
STERLING APIGA MBILI CHELSEA PUNGUFU YASHINDA 2-1
Saturday, August 27, 2022
WENYEJI, Chelsea wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Leicester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge Jiji...
MAN UNITED YASHINDA TENA, YAICHAPA SOUTHAMPTON 1-0
Saturday, August 27, 2022
BAO pekee la Bruno Fernandes dakika ya 55, limeipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Southampton Uwanja wa St. Mary's, ...
SINGIDA BIG STARS YASHUSHA MCHEZAJI MUARGENTINA
Saturday, August 27, 2022
KLABU ya Singida Big Stars imejiimarisha kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa kusajili mchezaji mpya, Muargentina, Miguel...
Friday, August 26, 2022
SIMBA SC WAENDA SUDAN KUCHEZA NA KOTOKO NA HILAL
Friday, August 26, 2022
KIKOSI cha Simba SC kimendoka Ijumaa Alfajiri ya leo kwenda Sudan kushiriki michuano maalum ya timu tatu, kwa mwaliko wa wenyeji, El Hilal. ...
Thursday, August 25, 2022
ZANZIBAR HEROES YAICHAPA THE CRANES 1-0 AMAAN
Thursday, August 25, 2022
BAO pekee la Ibrahim Mkoko limeipa Zanzibar Heroes ushindi wa 1-0 dhidi ya Uganda, The Cranes katika mchezo wa kirafiki usiku wa Jumatano U...
SIMBA QUEENS YATINGA FAINALI, KUKUTANA NA WAGANDA JUMAMOSI
Thursday, August 25, 2022
TIMU ya Simba Queens imefanikiwa kwenda Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati kwa Wanawake baada ya ushindi wa 5-1 dhidi ya AS Ki...
Wednesday, August 24, 2022
GEITA GOLD YAWASAJILI NTIBANZOKIZA NA LUIZIO
Wednesday, August 24, 2022
KLABU ya Geita Gold imejiimarisha kwa kusajili wachezaji wawili wazoefu, kiungo Mrundi Saido Ntabanzokiza na mshambuliaji mzawa, Juma Luiz...
Tuesday, August 23, 2022
YANGA WAHAMASISHA WATU KUSHIRIKI SENSA KESHO
Tuesday, August 23, 2022
WACHEZAJI wa Yanga wakiwa na bango la kuhamasisha Watanzania kushiriki zoezi la kuhesabiwa, Sensa kesho nchini kabla ya mchezo wao wa Ligi K...
AZAM FC KUCHEZA NA TIMU YA KALOU, SONG CHAMAZI
Tuesday, August 23, 2022
TIMU ya Azam FC itacheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa Djibout, AS Arta Solar 7 Agosti 30 Uwanja wa Azam Complex, Cha...
SIMBA KUCHEZA NA ASANTE KOTOKO NA EL HILAL
Tuesday, August 23, 2022
KLABU ya Simba itacheza mechi tatu za kirafiki dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana, El Hial ya Sudan na AS Arta Solar ya Djibouti kujiweka sawa ...
MAN UNITED YAIPIGA LIVERPOOL 2-1 OLD TRAFFORD
Tuesday, August 23, 2022
WENYEJI, Manchester United wamepata ushindi wa kwanza katika Ligi Kuu ya England msimu huu baada ya kuichapa Liverpool mabao 2-1 Uwanja wa O...
KINDA WA AZAM, TEPSIE EVANS AONGEZWA TAIFA STARS
Tuesday, August 23, 2022
KOCHA Mdenmark, Kim Poulsen amemuongeza kiungo Tepsi Evans wa Azam FC kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuelekea mche...
Sunday, August 21, 2022
AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA GEITA GOLD CHAMAZI
Sunday, August 21, 2022
WENYEJI, Azam FC wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam ...
WABRAZIL WAENDELEA KUING’ARISHA SINGIDA STARS LIGI KUU
Sunday, August 21, 2022
WENYEJI, Singida Big Stars wamepata ushindi wa pili mfululizo nyumbani katika mechi mbili za awali za Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya leo...
MATHEO APIGA MBILI KMC 2-2 NA POLISI
Sunday, August 21, 2022
TIMU ya Polisi Tanzania imelazimishwa sare ya 2-2 na KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sheikh Amri Abe...
SIMBA SC 2-0 KAGERA SUGAR (LIGI KUU TZ BARA)
Sunday, August 21, 2022
COASTAL UNION 0-2 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
Sunday, August 21, 2022
USYK AMSHINDA TENA JOSHUA KWA POINTI
Sunday, August 21, 2022
BONDIA Oleksandr Usyk amefanikiwa kutetea mataji yake ya WBA, IBO, WBO na IBF uzito wa juu baada ya kumshinda tena kwa pointi, Muingereza A...
Saturday, August 20, 2022
DEJAN APIGA LA PILI SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 2-0
Saturday, August 20, 2022
VIGOGO, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa Kagera Sugar ya Bukoba mabao 2-0 usiku huu...
SIMBA QUEENS YATINGA NUSU FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA MASHARIKI
Saturday, August 20, 2022
TIMU ya Simba Queens imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Klabu Bingwa ya Wanawake Afrika Mashariki na Kati baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Y...
YANGA YAENDELEZA UBABE LIGI KUU, YAICHAPA COASTAL 2-0 ARUSHA
Saturday, August 20, 2022
MABINGWA watetezi, Yanga SC wameendeleza mwanzo mzuri katika msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Coasta...
TFF YAWAPA POLE YANGA KWA MSIBA WA SHABIKI WAO
Saturday, August 20, 2022
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetoa pole kwa klabu ya Yanga kufuatia kifo cha shabiki wake mmoja kwenye ajali ya gari akiwa safarini n...
Subscribe to:
Posts (Atom)