PICHANI ni Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC baada ya kikao maalum cha kuzungumza na kumaliza tofauti zao ambacho kimekwenda vizuri na wameahidi mambo mazuri yanakuja Msimbazi.
Kutoka kulia ni Jerry Yambi, Adam Mgoyi, Mohamed Nassor, Kassim Dewji, Salum Abdallah, Muslah Ruwayh na Crescentius Magori.
Kutoka kulia ni Jerry Yambi, Adam Mgoyi, Mohamed Nassor, Kassim Dewji, Salum Abdallah, Muslah Ruwayh na Crescentius Magori.
0 comments:
Post a Comment