TEKNOLOJIA ya marudio ya picha za Video Kuwasaidia Marefa katika maamuzi itatumika kwa majaribio katika mechi za Nusu Fainali ya Ligi ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 kesho.
Mechi za Nusu Fainali za Ligi ya U20 zitapigwa kesho Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam; ni Mbeya Kwanza na Coastal Union na Azam FC dhidi ya Mtibwa Sugar hapo hapo Azam Complex.
0 comments:
Post a Comment