• HABARI MPYA

        Saturday, July 23, 2022

        TANZANIA YACHAPWA 3-2 MALAWI SOKA LA UFUKWENI AFRIKA


        TIMU ya taifa ya Tanzania yansoka la Ufukweni imechapwa mabao 3-2 na wenyeji Malawi leo mchezo wa kwanza wa kuwania tiketi ya Fainali za Afrika zitakazofanyika baadaye mwaka huu nchini Msumbiji. 
        Mechi ya marudiano itachezwa Dar es Salaam kati ya Agosti 5 na 7 na mshindi wa jumla atasonga mbele.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: TANZANIA YACHAPWA 3-2 MALAWI SOKA LA UFUKWENI AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry