TAIFA STARS ITAKAYOIVAA SOMALIA KUFUZU CHAN HII HAPA
KOCHA Mdenmark, Kim Poulsen ametaja kikosi cha wachezaji 24 cha timu ya taifa kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) dhidi ya Somalia, ndani yake akijumuisha wachezaji saba wa Yanga na watano wa Simba. Taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imesema kikosi hicho kitaingia kambini Ijumaa kuanza maandalizi ya mchezo huo.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment