TIMU ya Singida Big Stars imemsajili beki Abdulmajid Mangalo ni kwa mkataba wa miaka miwili kutoka Biashara United iliyoshuka Daraja.
Mangalo anakuwa mchezaji mpya wa nne Singida Big Stars baada ya Aziz Andambwile kutoka Mbeya City, Paul Godfrey ‘Boxer’ kutoka Yanga na Kelvin Sabato kutoka Mtibwa Sugar.
0 comments:
Post a Comment