SINGIDA STARS YAMSAJILI ‘MIDO’ AZIZ ANDAMBWILE MWAMBALASWA
KLABU ya Singida Big Stars imemtambulisha kiungo Aziz Andabwile Mwambalaswa kutoka Mbeya City kuwa mchezaji wake mpya kuekekea msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Andambwile mwenye umri wa miaka 22 ni miongoni mwa wachezaji waliofanya vizuri katika msimu uliomalizika wa Ligi Kuu na amekuwa akihusishwa na klabu nyingine mbalimbali, wakiwemo mabingwa, Yanga SC.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment