• HABARI MPYA

        Saturday, July 30, 2022

        SIMBU ASHINDA MEDALI YA FEDHA MARATHONI MADOLA


        MWANARIADHA Alphonse Simbu wa Tanzania ameshinda Medali ya Fedha kwenye mbio ndefu, Marathoni leo kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola Jijini, Birmingham, England.
        Simbu amemaliza nyuma ya Vincent Kiplangat ambaye ameipatia Medali ya kwanza kabisa ya Dhahabu Uganda, huku Michael Githae wa Kenya akichukua Medali ya Shaba.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SIMBU ASHINDA MEDALI YA FEDHA MARATHONI MADOLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry