• HABARI MPYA

        Monday, July 11, 2022

        SIMBA SC YAMSAJILI BEKI NASSOR KAPAMA WA KAGERA SUGAR



        KLABU ya Simba imemtambulisha beki Nassoro Kapama kutoka Kagera Sugar kuwa mchezaji wake wa nne mpya kuelekea msimu ujao.
        Kapama anakuwa mzawa wa pili mpya kusajiliwa Simba baada ya mshambuliaji Habib Kyombo kutoka Mbeya Kwanza iliyoshuka Daraja.
        Wengine ni kiungo Mnigeria, Victor Akpan kutoka Coastal Union na mshambuliaji Mzambia, Moses Phiri kutoka Zanaco ya kwao.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SIMBA SC YAMSAJILI BEKI NASSOR KAPAMA WA KAGERA SUGAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry