• HABARI MPYA

        Thursday, July 07, 2022

        SAKHO MCHEZAJI BORA, MOALIN KOCHA BORA LIGI KUU JUNI


        MSHAMBULIAJI Msenegal wa Simba SC, Pape Ousmane Sakho ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa mwezi wa kuhitimisha msimu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Juni huku Abdilhamid Moalin wa Azam FC akiwa Kocha Bora.



        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SAKHO MCHEZAJI BORA, MOALIN KOCHA BORA LIGI KUU JUNI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry