TIMU ya Singida Big Stars imemsajili kipa namba mbili wa timu ya taifa, Metacha Boniphace Mnata kutoka Polisi Tanzania kwa mkataba wa miaka miwili.
Mnata anakuwa mchezaji mpya wa tano Singida Big Stars baada ya Abdulmajid Mangalo kutoka Biashara United, Aziz Andambwile kutoka Mbeya City, Paul Godfrey ‘Boxer’ kutoka Yanga na Kelvin Sabato kutoka Mtibwa Sugar.
0 comments:
Post a Comment