• HABARI MPYA

        Saturday, July 30, 2022

        MAYELE APIGA HAT TRICK YANGA YASHINDA 5-1 KIGAMBONI


        MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga SC wameibuka na ushindi wa 5-1 katika mchezo wa Kirafiki dhidi ya Transit Camp Ijumaa Uwanja wa Avic Town, Somangira nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
        Mabao ya Yanga SC yamefungwa na washambuliaji wake Wakongo, Fiston Kalala Mayele matatu, Heritier Makambo na kiungo Mburkinabe, Stephane Aziz Ki moja kila mmoja.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MAYELE APIGA HAT TRICK YANGA YASHINDA 5-1 KIGAMBONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry