IKICHEZA kwa mara ya kwanza chini ya kocha mpya, Mholanzi, Erik ten Hag, Manchester United imeitandika Liverpool mabao 4-0 katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Rajamangala Jijini Bangkok nchini Thailand.
Mabao ya Man United katika mchezo huo wa kujiandaa na msimu mpya yamefungwa na Facundo Pellistri, Jadon Sancho, Fred na Anthony Martial.
0 comments:
Post a Comment