// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
BI HINDU MWIGIZAJI MKONGWE MWANA SIMBA AFARIKI DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEBI HINDU MWIGIZAJI MKONGWE MWANA SIMBA AFARIKI DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
BI HINDU MWIGIZAJI MKONGWE MWANA SIMBA AFARIKI DUNIA
MWANACHAMA mkongwe wa Simba SC, Chuma Suleiman maarufu kama Bi. Hindu amefariki dunia leo asubuhi nyumbani kwake Magomeni, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mjukuu wake, Bi. Hindu aliyekuwa mwigizaji maarufu wa filamu na tamthiliya nchini, amekutwa na umauti baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda. Klabu ya Simba imetoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki walioguswa na msiba huo na kwamba wapo pamoja na familia katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Mazishi yatafanyika kesho Jumapili saa 7 mchana eneo la Magomeni Mapipa katika makaburi ya Mwinyimkuu.
Why it's great to see Axel thriving
-
The one-time Reds captain has taken a different path to becoming a
top-flight regular and that's fine, says Sam Carney.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment