MCHEZAJI Bora na kiungo Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu uliopita, Mkongo Yannick Bangala ameongeza mkataba wa kuendelea kufanya kazi Jangwani hadi mwaka 2024.
Aidha, Mkongo mwenzake, beki Djuma Shabani naye ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea na majukumu Yanga hadi mwaka 2024.
0 comments:
Post a Comment