KLABU ya Azam FC imeendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao baada ya kumtambulisha kiungo mkabaji, Isah Ndala kutoka Plateau United ya kwao, Nigeria aliyesaini mkataba wa miaka miwili. Usajili wa Ndala, moja kati ya vya kusifika nchini Nigeria umekamilishwa na Mkurugenzi wa Azam FC, Yussuf Bakhresa akishirikiana na Mtendaji Mkuu wa klabu, Abdulkarim Amin ‘Popat’ na anakuwa mchezaji mpya wa tatu wa kigeni, baada ya viungo wawili washambuliaji kutoka Ivory Coast, Kipre Junior na Tape Edinho.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment