
Sunday, July 31, 2022

RAIS wa Yanga, Mhandisi Hersi Said amemteua Saad Kawemba kuwa Mkurugenzi wa Mashindano na Walter Harrison kuwa Meneja mpya wa timu.
YANGA SC YASHINDA 9-0 MECHI YA KIRAFIKI LEO KIGAMBONI
Sunday, July 31, 2022
KLABU ya Yanga imeendeleza wimbi la ushindi katika michezo ya kirafiki kujiandaa na msimu mpya baada ya leo kuichapa Friends Rangers mabao 9...
SIMBA KUCHEZA MECHI NYINGINE YA KIRAFIKI KESHO MISRI
Sunday, July 31, 2022
KLABU ya Simba kesho Jumatatu itacheza mchezo wa nne wa kirafiki katika kambi yake ya mjini Ismailia nchini Misri dhidi ya Al-Kholood FC. Me...
WAZIRI MCHENGERWA AKUTANA NA NYOTA WA ZAMANI WA COASTAL UNION ULAYA
Sunday, July 31, 2022
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa akiwa na wachezaji wa zamani wa Coastal Union ya Tanga, Hussein Mwakuluzo (kushoto...
ZUCHU KUTUMBUIZA SIMBA DAY AGOSTI 8
Sunday, July 31, 2022
MWANAMUZIKI nyota wa kike Tanzania, Zuhura Othman Soud atatumbuiza kwenye tamasha la Simba Day Agosti 8, mwaka huu Uwanja wa Benjamin Mkapa ...
BANGALA NA DJUMA SHABANI WAONGEZA MIKATABA YANGA HADI 2024
Sunday, July 31, 2022
MCHEZAJI Bora na kiungo Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu uliopita, Mkongo Yannick Bangala ameongeza mkataba wa kuendelea kufanya kazi...
Saturday, July 30, 2022
SENZO MAZINGISA AAMUA KUONDOKA YANGA SC
Saturday, July 30, 2022
KLABU ya Yanga imekubali ombi la Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wake Mkuu, Senzo Mazingiza Mbatha kutoongeza mkataba mpya wa kuendelea na kazi Ja...
TAIFA STARS YASONGA MBELE KUFUZU CHAN
Saturday, July 30, 2022
TANZANIA imesonga mbele katika kuwania tiketi ya Fainali za CHAN mwakani baada ya ushindi wa 2-1 leo dhidi ya Somalia Uwanja wa Benjamin Mka...
SIMBU ASHINDA MEDALI YA FEDHA MARATHONI MADOLA
Saturday, July 30, 2022
MWANARIADHA Alphonse Simbu wa Tanzania ameshinda Medali ya Fedha kwenye mbio ndefu, Marathoni leo kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola Jijini...
MAYELE APIGA HAT TRICK YANGA YASHINDA 5-1 KIGAMBONI
Saturday, July 30, 2022
MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga SC wameibuka na ushindi wa 5-1 katika mchezo wa Kirafiki dhidi ya Transit Camp Ijumaa Uwanja wa Avic Town, ...
Friday, July 29, 2022
AZAM FC NAYO YAZINDUA JEZI ZA MSIMU MPYA
Friday, July 29, 2022
KLABU ya Azam FC imezindua jezi zake mpya kuelekea msimu ujao ambazo ni nyumbani, ugenini na ya tatu ambayo ni ya ziada.
Thursday, July 28, 2022
HIZI HAPA JEZI ZA MSIMU MPYA YANGA SC
Thursday, July 28, 2022
HIZI ndiyo jezi za msimu mpya za mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga SC zilizozinduliwa leo Jijini Dar es Salaam.
BARBARA ATUA NIGERIA KUKAMILISHA USAJILI WA KIUNGO MPYA
Thursday, July 28, 2022
MTENDAJI Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez (kulia) akiwa na kiungo Mnigeria, Nelson Esor-Bulunwo Okwa (28) nchini Nigeria ambako amekwenda kuk...
Wednesday, July 27, 2022
YANGA WAPEWA SH MILIONI 100 KWA KUTWAA UBINGWA WA NCHI
Wednesday, July 27, 2022
RAIS wa Yanga SC, Hersi Said, Mtendaji Mkuu, Senzo Mbatha na baadhi ya wachezaji wakipokea mfano wa hundi ya Sh. Milioni 100 kutoka kwa Mkur...
AZAM FC YACHAPWA 1-0 NA WADI DEGLA
Wednesday, July 27, 2022
TIMU ya Azam FC imechapwa 1-0 na wenyeji, Wadi Degla katika mchezo wa kirafiki leo kwenye kambi yake ya kujiandaa na msimu ujao huko Gunna n...
SIMBA YACHAPWA 2-0 NA HARAS EL HODOUD MISRI
Wednesday, July 27, 2022
TIMU ya Simba leo imechapwa mabao 2-0 na wenyeji, Haras El Hodoud katika mchezo wa kirafiki kwenye kambi yao ya kujiandaa na msimu mpya mjin...
SPORTS PESA YAMWAGA. NEEMA NZITO YANGA SC
Wednesday, July 27, 2022
KLABU ya Yanga imesaini mkataba mpya wa udhamini na kampuni ya Sport Pesa Tanzania wenye thamani ya Sh. Bilioni 12.335 kwa miaka mitatu. Kat...
BEKI WA SIMBA QUEENS AJIUNGA NA KLABU YA MÉXICO
Wednesday, July 27, 2022
BEKI wa kati wa Simba Queens, Julietha Singano ameijiunga na klabu ya FC Juárez ya Mexico kwa kujibu wa taarifa kutoka Shirikisho la Soka Ta...
Tuesday, July 26, 2022
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA GORDIAN MAPANGO
Tuesday, July 26, 2022
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA AHMAD AMASHA
Tuesday, July 26, 2022
Sunday, July 24, 2022
AZAM ACADEMY WATWAA UBINGWA WA LIGI Y U17
Sunday, July 24, 2022
TIMU ya Azam FC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 baada ya ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Pan African kw...
MSUVA AJIUNGA NA AL-QADSIYAH YA SAUDI ARABIA
Sunday, July 24, 2022
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Saimon Happygod Msuva amejiunga na klabu ya Al-Qadsiah ya Saudi Arabian baada ya kuachana na Wydad At...
NI BANYANA BANYANA MABINGWA WAPYA WAFCON
Sunday, July 24, 2022
TIMU ya taifa ya Afrika Kusini imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wanawake baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyej...
SOMALIA 0-1 TANZANIA (KUFUZU CHAN)
Sunday, July 24, 2022
MAMBO YA KIPRE JUNIOR MAZOEZINI AZAM FC KAMBI YA MISRI
Sunday, July 24, 2022
NYOTA mpya wa Azam FC, Kipre Junior kutoka Ivory Coast akimiliki mpira kwenye mazoezi ya timu hiyo katika kambi ya kujiandaa na msimu huko G...
SAKHO APIGA MBILI, SIMBA YASHINDA 6-0 MISRI
Sunday, July 24, 2022
TIMU ya Simba imeibuka na ushindi wa 6-0 dhidi ya wenyeji, Abo Hamad ya Misri katika mchezo wa kirafiki mjini Ismailia nchini Ismailia usiku...
AZIZ KI MAZOEZINI YANGA IKIJIANDAA NA MECHI YA NGAO AGOSTI 13
Sunday, July 24, 2022
KIUNGO mshambuliaji mpya wa Yanga SC, Stephane Aziz Ki (kulia) akiwa na winga chipukizi Mtanzania, Dennis Nkane kwenye mazoezi ya Yanga jana...
Saturday, July 23, 2022
SAKHO ALIVYOPOKEWA NA TUZO YAKE KAMBINI SIMBA
Saturday, July 23, 2022
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Pape Ousmane Sakho alivyopokewa kambini jijini Ismailia, Misri akitokea nchini Morocco ambako ameshinda Tuzo ...
Subscribe to:
Posts (Atom)