// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
YANGA YASAJILI MSHAMBULIAJI WA CHIPOLOPOLO NA KAIZER - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEYANGA YASAJILI MSHAMBULIAJI WA CHIPOLOPOLO NA KAIZER - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
YANGA YASAJILI MSHAMBULIAJI WA CHIPOLOPOLO NA KAIZER
MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga SC wamemtambulisha mshambuliaji wa Kimataifa wa Zambia, Lazarous Kambole kuwa mchezaji wake mpya wa kwanza kuelekea msimu ujao. Kambole mwenye umri wa miaka 28, anatua Jangwani akitokea Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini aliyojiunga nayo mwaka 2019 akitokea ZESCO United ya kwao. Kambole aliibukia Konkola Mine Police mwaka 2011, kabla ya kuhamia Konkola Blades mwaka 2013 ambako alicheza hadi 2014 alipokwenda ZESCO United - na tangu mwaka 2018 amekuwa akichezea timu ya taifa, Chipolopolo.
Uganda U17 Boys Face Kenya in Group A Finale
-
The Uganda U17 Boys National Team is bracing for one of the most pivotal
matches in their campaign as they take on familiar rivals Kenya in the
final Gro...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment