• HABARI MPYA

        Thursday, June 23, 2022

        YANGA WAWASILI MBEYA KUBEBA MWALI WAO JUMAMOSI


        KIKOSI cha Yanga kimewasili Jijini Mbeya kuelekea mchezo wa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mbeya City Jumamosi Uwanja wa Sokoine.
        Tayari Bodi ya Ligi imesema Yanga watakabidhiwa Kombe lao baada ya mchezo huo, kabla ya mapema siku inayofuata, yaani Jumapili kurejea Dar es Salaam na kupokewa na umati wa mashabiki na wapenzi wa timu hiyo huku wachezaji wakibebwa kwenye basi maalum la wazi 
        na kulitembeza Kombe hadi makao makuu ya klabu, Jangwani.




        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: YANGA WAWASILI MBEYA KUBEBA MWALI WAO JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry