TIMU ya Taifa ya wasichana chini ya umri wa miak 17, Serengeti Girls imefanikiwa kufuzu Fainali za Kombe la Dunia baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Cameroon Jumapili Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Katika mchezo huo wa marudiano Raundi ya mwisho ya mchujo kuwania tiketi ya Fainali zitakazofanyika Oktoba nchini India, bao pekee la Tanzania lilifungwa na Neema Paul Kinega. Serengeti Girls inafuzu Fainali za kwanza za Kombe la Dunia kwa ushindi wa jumla wa 5-1 kufuatia kushinda 4-1 kwenye mechi ya kwanza Yaoundé.
FUFA President’s New Year Address
-
FUFA President Hon. Magogo Moses Hassim made his first address in the New
Year today in a press briefing held at FUFA Complex Mengo, giving an update
abo...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment