RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan akipokea Kombe la Dunia la FIFA jana Jijini Dar es Salaam kuelekea Fainali za baadaye mwaka huu nchini Qatar.
Mama Samia anakuwa Rais wa pili wa Tanzania kupokea Kombe la Dunia baada ya Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Novemba 29, 2013 Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuelekea Fainali za mwaka 2014 nchini Brazil, ambako huko Ujerumani iliibuka bingwa kwa kuichapa Argentina 1-0 ndani ya dakika 120 bao la Mario Götze dakika ya 113 Uwanja wa Maracanã, Rio de Janeiro.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment