MSHAMBULIAJI wa Napoli ya Itali, Victor Osimhen jana amefunga manne Nigeria ikiibuka na ushindi wa rekodi kwenye historia ya AFCON mabao 10 -0 dhidi ya Sao Tome e Principe Uwanja wa Agadir nchini Morocco. Katika mchezo huo wa kuwania tiketi ya AFCON ya mwakani nchini Ivory Coast, mabao mengine ya Super Eagles yalifungwa Terem Moffi mawili, Moses Simon, Oghenekaro Etebo, Ademola Lookman na Emmanuel Dennis kwa penalti.
Why retiring Nadal means 'everything' to Spain
-
Rafael Nadal retires from professional tennis after a 23-year career like
no other. On a night of gratitude and grief, Spain led the world in saying
"Graci...
Zimbabwe Afcon hopes dashed after loss to Cameroon
-
Zimbabwe’s hopes of finishing the 2025 Africa Cup of Nations (AFCON)
qualifiers undefeated were dashed yesterday after a 2-1 defeat to Cameroon
at the Ah...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment