// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MSOLLA NAYE ACHUKUA FOMU KUGOMBEA URAIS YANGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MSOLLA NAYE ACHUKUA FOMU KUGOMBEA URAIS YANGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, June 11, 2022

    MSOLLA NAYE ACHUKUA FOMU KUGOMBEA URAIS YANGA


    MWENYEKITI wa Yanga, Dk Mbette Mshindo Msolla atagombea Urais wa klabu dhidi ya wanachama wengine wawili waliojitokeza hadi sasa.
    Hao ni Hersi Ally Said, Mkurugenzi wa Uwekezaji wa kampuni ya GSM, washirika wakuu wa Yanga na Said Baraka Kambi katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Julai 10, mwaka huu Jijini Dar es Salaam.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MSOLLA NAYE ACHUKUA FOMU KUGOMBEA URAIS YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top