• HABARI MPYA

        Wednesday, June 01, 2022

        MSHINDI WA KOMBE LA DUNIA AWAIBUKIA STARS MAZOEZINI


        NYOTA wa kikosi cha Brazil kilichotwaa Kombe la Dunia mwaka 2002, Juliano Balleti akisalimiana na wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars mazoezini leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
        Taifa Stars inajiandaa na mechi za kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), wakati Balleti amekuja nchini na Kombe Halisi la Dunia la FIFA katika ziara maalum kueleka Fainali za mwaka huu nchini Qatar.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MSHINDI WA KOMBE LA DUNIA AWAIBUKIA STARS MAZOEZINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry