• HABARI MPYA

        Friday, June 17, 2022

        KIBU DENNIS AKABIDHIWA TUZO YAKE YA MEI SIMBA


        MSHAMBULIAJI wa mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Kibu Denis amekabidhiwa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Simba SC mwezi Mei sambamba na kitita cha Sh. Milioni 2 kutoka kwa wadhamini, Emirate Aluminium Simba ACP.



        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KIBU DENNIS AKABIDHIWA TUZO YAKE YA MEI SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry