• HABARI MPYA

        Saturday, June 11, 2022

        KARIA NA KIDAU WAITEMBELEA KILIMANJARO QUEENS UGANDA


        RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia leo na Katibu wake, Wilfred KIDAU wametembelea kambi ya timu ya taifa ya wanawake ya Bara, Kilimanjaro Queens kuelekea na kuzungumza na wachezaji kuelekea mchezo kutafuta mshindi wa tatu mashindano ya CECAFA Jumamosi nchini Uganda.




        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KARIA NA KIDAU WAITEMBELEA KILIMANJARO QUEENS UGANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry