• HABARI MPYA

        Tuesday, June 21, 2022

        HABIB KYOMBO ANAYETAKIWA SIMBA SC ATUA SINGIDA STARS


        KLABU ya Singida Big Stars iliyopanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu ujao, imetangaza kumsajili mshambuliaji Habib Kyombo kutoka Mbeya Kwanza.
        Kyombo ambaye alikuwa anahusishwa na vigogo, Simba anaondoka Mbeya Kwanza ipo hatarini kushuka Daraja, hadi sasa ikiwa inashika mkia katika Ligi Kuu.


        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: HABIB KYOMBO ANAYETAKIWA SIMBA SC ATUA SINGIDA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry