// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); COSTA RICA YAKAMILISHA WASHIRIKI KOMBE LA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE COSTA RICA YAKAMILISHA WASHIRIKI KOMBE LA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, June 16, 2022

    COSTA RICA YAKAMILISHA WASHIRIKI KOMBE LA DUNIA


    MASHABIKI wa Costa Rican waliingia mitaani kushangilia baada ya Los Ticos kukamilisha idadi ya timu 32 za Kombe la Dunia kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya New Zealand 1-0 kwenye intercontinental playoff ya mwisho.
    Bao la dakika ya tatu la Joel Campbell na saves nzuri ya kipa Keylor Navas ambaye pia ni Nahodha wa timu ndio kwa pamoja ndio viliwapa tiketi ya tatu mfululizo ya World Cup na sasa wanakwenda kwenye kundi gumu, E ambako watakuwa na Hispania, Japan na Ujerumani
    Na Rais wa FIFA, Gianni Infantino amezipongeza timu 32 zilizofuzu World Cup ya Qatar itakayoanza mwei Novemba 21 kwa mabingwa wa Afrika, Senegal kumenyana na Uholanzi.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: COSTA RICA YAKAMILISHA WASHIRIKI KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top