• HABARI MPYA

        Tuesday, June 28, 2022

        BILIONEA GHALIB ALIPOFIKISHIWA MATAJI YA YANGA


        MFADHILI na Mdhamini wa Yanga SC, Ghalib Said Mohamed (GSM) akiwa na Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara na Ngao ya Jamii wakati wa sherehe za ubingwa juzi Jijini Dar es Salaam.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: BILIONEA GHALIB ALIPOFIKISHIWA MATAJI YA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry