
Thursday, June 30, 2022

KLABU ya Azam FC imetambulisha mchezaji mwingine kutoka Ivory Coast, naye pia kiungo mshambuliaji, Tape Edinho aliyesaini mkataba wa miaka m...
MRENO NDIYE KOCHA MPYA AL AHLY
Thursday, June 30, 2022
KLABU ya Al Ahly ya Misri imemtambulisha Mreno, José Ricardo Soares Ribeiro kuwa kocha wake mpya Mkuu akichukua nafasi ya Muafrika Kusini,...
YUSSUF BAKHRESA ASHUSHA KIFAA CHA IVORY COAST AZAM
Thursday, June 30, 2022
KLABU ya Azam FC imemsajili kiungo mshambuliaji, Kipre Junior Zunon kutokea Sol FC ya kwao, Ivory Coast kwa mkataba wa miaka mitatu, zoezi a...
ARAJIGA KUCHEZESHA FAINALI YA ASFC JUMAMOSI ARUSHA
Thursday, June 30, 2022
REFA Ahmed Arajiga wa Manyara ndiye atakayechezesha Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federati...
UCHAGUZI WA MATAWI YANGA WASOGEZWA MBELE TENA
Thursday, June 30, 2022
KAMATI ya Uchaguzi ya Yanga imesogeza mbele muda chaguzi za matawi ya klabu hiyo hadi Julai 4 kuelekea uchaguzi Mkuu wa mabingwa hao Ligi Ku...
YANGA SC 1-0 MTIBWA SUGAR (LIGI KUU TZ BARA)
Thursday, June 30, 2022
MBEYA KWANZA 0-0 SIMBA SC (LIGI KUU TZ BARA)
Thursday, June 30, 2022
Wednesday, June 29, 2022
YANGA YAMALIZA LIGI KWA USHINDI WA 1-0
Wednesday, June 29, 2022
MABINGWA, Yanga SC wamemaliza Ligi Kuu ya Tanzania Bara vizuri kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini ...
SIMBA SC YAMALIZA LIGI KWA SARE SONGEA
Wednesday, June 29, 2022
MABINGWA wa zamani wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Simba SC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na wenyeji, Mbeya Kwanza katika mchezo wa mw...
GEORGE MPOLE MFUNGAJI BORA LIGI KUU
Wednesday, June 29, 2022
MSHAMBULIAJI Mzawa, George Mpole Mwaigomole ndiye mfungaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kufunga bao la 17 leo, Geita Gold ikil...
MBOMBO APIGA HATI-TRICK AZAM YAFUZU KOMBE LA SHIRIKISHO
Wednesday, June 29, 2022
TIMU ya Azam FC imefanikiwa kukata tiketi ya kucheza Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kumaliza nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania...
NOVATUS DISMAS AJIUNGA NA SV WEREGEM YA UBELGIJI
Wednesday, June 29, 2022
KIUNGO chipukizi Mtanzania, Novatus Dismas Miroshi amejiunga na klabu ya SV Zulte Waregem ya Ligi Kuu ya Ubelgiji. Miroshi amesaini mkataba ...
MAHOJIANO BIN ZUBEIRY NA DOUGLAS MUHANI
Wednesday, June 29, 2022
Tuesday, June 28, 2022
KOCHA MKUU MPYA WA SIMBA NI MSERBIA ZORAN
Tuesday, June 28, 2022
KLABU ya Simba imemtambulisha rasmi Mserbia, Zoran Manojlovic kuwa kocha wake mpya Mkuu, akichukua nafasi ya Mspaniola, Pablo Franco Martin ...
BILIONEA GHALIB ALIPOFIKISHIWA MATAJI YA YANGA
Tuesday, June 28, 2022
MFADHILI na Mdhamini wa Yanga SC, Ghalib Said Mohamed (GSM) akiwa na Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara na Ngao ya Jamii wakati w...
WAZIRI MKUU MGENI RASMI TAMASHA LA UTAMADUNI
Tuesday, June 28, 2022
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye Tamasha la kwanza la ...
KOCHA MSAUZI WA MAKIPA SIMBA ATIMKIA ORLANDO
Tuesday, June 28, 2022
KOCHA wa makipa wa klabu ya Simba SC, Tyron Damons ameagwa rasmi na imeelezwa anakwenda kujiunga na klabu ya Orlando Pirates ya kwao, Afrik...
KASSIM DEWJI AFICHUA KINACHOITAFUNA SIMBA SC
Tuesday, June 28, 2022
WACHEZAJI AZAM FC WAPANDISHA BENDERA YAO MLIMA KILIMANJARO
Tuesday, June 28, 2022
KIKOSI cha Azam FC juzi kilipanda Mlima Kilimanjaro na kupandisha bendera yake kwenye kilele cha Mlima huo ikiwa ni ishara ya kuunga mkono j...
Monday, June 27, 2022
RAIS WA FIFA AIPONGEZA YANGA KWA UBINGWA WA 28
Monday, June 27, 2022
RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ...
WAZIRI MCHENGERWA AFICHUA SIRI YA UBINGWA YANGA
Monday, June 27, 2022
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa ameipongeza timu ya Yanga kwa kutwaa kombe la katika ligi Kuu Tanzania ...
MAPOKEZI HADI SHEREHE ZA UBINGWA ZILIVYOFANA YANAG
Monday, June 27, 2022
JIJI la Dar es Salaam jana lilikuwa ni kijani na njano, wakati wa mapokezi ya mabingwa wa Ligi Kuu msimu huu, Yanga pale JNIA wakitokea Mbey...
TANZANIA PRISONS 1-0 SIMBA SC
Monday, June 27, 2022
Sunday, June 26, 2022
TANZANIA PRISONS YAICHAPA SIMBA 1-0 SOKOINE
Sunday, June 26, 2022
WENYEJI, Tanzania Prisons wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya vigogo, Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo ...
KICHUYA APIGA HAT TRICK NAMUNGO YAICHAPA MTIBWA 4-2
Sunday, June 26, 2022
KIUNGO mshambuliaji, Shiza Ramadhani Kichuya ameifungia mabao matatu Namungo FC ikitoka nyuma na kuichapa timu yake ya zamani, Mtibwa Sugar ...
Saturday, June 25, 2022
AZAM PUNGUFU YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0 JAMHURI
Saturday, June 25, 2022
TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Jamh...
YANGA SC WAKABIDHIWA KOMBE LAO SOKOINE
Saturday, June 25, 2022
WACHEZAJI wa Yanga SC wakifuaria na Kombe lao la ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kufuatia kukabidhiwa jioni ya leo Uwanja wa Sokoine Ji...
YANGA SC YAENDELEZA REKODI YA KUTOPOTEZA MECHI LIGI KUU
Saturday, June 25, 2022
MABINGWA, Yanga wameendeleza rekodi yao ya kutopoteza mechi msimu huu baada ya kutoa sare ya 1-1 na wenyeji, Mbeya City katika mchezo wa Lig...
KMKM WALIVYOTWAA UBINGWA WA ZANZIBAR
Saturday, June 25, 2022
SIMBA SC 2-0 MTIBWA SUGAR (LIGI KUU TZ BARA)
Saturday, June 25, 2022
Friday, June 24, 2022
TANZANIA YAPEWA MALAWI KUFUZU FAINALI ZA BEACH SOCCER
Friday, June 24, 2022
TANZANIA itamenyana na Malawi katika kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Soka ya Ufukweni baadaye mwaka huu nchini Msumbiji. Tanzania itaan...
SERENGETI GIRLS YAPANGWA NA CANADA, JAPANA NA UFARANSA
Friday, June 24, 2022
TANZANIA imepangwa Kundi D pamoja na Canada, Japan na Ufaransa katika Fainali za Kombe la Dunia la Wanawake chini ya umri wa miaka 17 zinazo...
FIFA YAIFUNGIA GEITA GOLD KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA
Friday, June 24, 2022
KLABU ya Geita Gold imefungiwa kusajili wa mchezaji mpya hadi hapo itakapomalizana na aliyekuwa kocha wake, Ettiene Ndayiragijje iliyemfukuz...
KAGERE ALIVYOMUAGA SERGE WAWA JANA SIMBA
Friday, June 24, 2022
MSHAMBULIAJI Mnyarwanda, mzaliwa wa Uganda, Meddie Kagere (kushoto) akiwa amekumbatina na beki Serges Pascal Wawa Sfondo baada ya mechi ya k...
Thursday, June 23, 2022
YANGA WAWASILI MBEYA KUBEBA MWALI WAO JUMAMOSI
Thursday, June 23, 2022
KIKOSI cha Yanga kimewasili Jijini Mbeya kuelekea mchezo wa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mbeya City Jumamosi Uwanja wa Sok...
Subscribe to:
Posts (Atom)