WENYEJI, Tanzania Prisons wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania ya Kilimanjaro katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jana Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Bao pekee la Prisons limefungwa na Jumanne Elfadhili dakika ya 17 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 22 katika mchezo wa 21 na kusogea nafasi ya 13, wakati Polisi inabaki na pointi zake 25 za mechi 21 nafasi ya nane.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment