WENYEJI, Tottenham Hotspur wameibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Alhamisi Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London. Mabao ya Spurs yamefungwa na Harry Kane mawili, dakika ya 22 kwa penalti na 37 akimalizia pasi ya Rodrigo Bentancur na lingine Son Heung-Min dakika ya 47. Kwa ushindi huo, Spurs inafikisha pointi 65, ingawa inabaki nafasi ya tano, ikizidiwa pointi moja moja na Arsenal baada wa wote kucheza mechi 36. Arsenal ilimaliza pungufu baada ya Rob Holding kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 33 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano kwa kucheza rafu.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment