KLABU ya Simba imeachana na kocha wake, Mspaniola Pablo Franco Martin baada ya makubaliano ya pande zote MBILI na kuelekea mechi zilizobaki kumalizia msimu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara timu itakuwa chini ya kocha Msaidizi, Suleiman Matola.Pamoja na Pablo aliyejiunga na timu hiyo Novemba mwaka jana, Simba pia imeachana na kocha wa mazoezi ya viungo Daniel De Castro Reyes ambaye pia ni Mspaniola.
Travis Hunter and Shedeur Sanders get 'record insurance coverage' to risk
injury for Colorado before NFL Draft
-
Colorado stars Travis Hunter and Shedeur Sanders plan to play for Coach
Prime and the No. 20 Buffaloes against No. 17 BYU at Saturday's Alamo Bowl.
Will th...
27 minutes ago
0 comments:
Post a Comment