MABINGWA watetezi, Simba SC wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Pamba FC ya Mwanza usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba SC yamefungwa na viungo Mmalawi, Peter Banda dakika ya 45 na wazawa, Kibu Dennis mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) dakika ya 48 na Yussuf Mhilu mawili, dakika ya 53 na 89. Simba SC itamenyana na watani wa jadi, Yanga katika Nusu Fainali, wakati Azam FC itamenyana na Coastal Union.
Pregnant GB shooter Mwandumba's twin aims
-
"It's not a normal thing people do!" GB shooter Ruth Mwandumba is competing
at the European Championships while six months pregnant with twins.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment