ROBO Fainali ya mwisho ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baina ya wenyeji, Simba SC na Pamba FC ya Mwanza itachezwa Jumamosi ya Mei 14 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Ikumbukwe mshindi hapo atakutana na vinara wa Ligi Kuu, Yanga SC wakati Nusu Fainali nyingine ni kati ya Azam FC na Coastal Union ya Tanga.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment