TIMU ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls imefanikiwa kusonga mbele Raundi ya mwisho ya mchujo wa kuwania tiketi ya Kombe la Dunia baadaye mwaka huu India licha ya kuchapwa 2-1 na Burundi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Ni mtaji wa ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa kwanza katikati ya mwezi uliopita unawafanya Girls wasonge mbele kwa ushindi wa jumla wa 5-2 na sasa watamenyana na Cameroon katika Raundi ya mwisho ya mchujo wa kuwania tiketi ya India katika Fainali ambazo zitaanza Oktoba 11 hadi 30.
Why 'extra special' Nwaneri has to remain patient
-
Ethan Nwaneri is the second-youngest player to score a Premier League goal
for Arsenal, behind only Cesc Fabregas - but Mikel Arteta explains why he
must s...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment