TIMU ya Real Madrid imefanikiwa kwenda Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Manchester City usiku wa Jumatano Uwanja wa Santiago Bernabéu Jijini Madrid nchini Hispania. Dakika 90 zilimalizika la Real wakishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Rodrygo yote dakika ya 90 na 90 na ushei baada ya Man City kutangulia kwa bao la Riyad Mahrez dakika ya 73. Matokeo ya jumla yakawa 5-5 kufuatia Man City kushinda 3-2 kwenye mechi ya kwanza Uwanja wa Etihad wiki iliyopita, hivyo mchezo ukahamia kwenye dakika 30 za nyongeza na ndipo Mfaransa, Karim Benzema amáinela shujaa wa Bernabeu kwa mara nyingine tena kwa bao lake la penalti dakika ya 95 kufuatia yeye mwenyewe kuchezwa vibaya na Ruben Dias.
Kwa ushindi huo wa jumla wa 6-5, Real Madrid inakwenda Fainali itakayopigwa Mei 28 Uwanja wa Stade de France Jijini Paris na itakutana na timu nyingine ya England, Liverpool ambayo imeitoa Villarreal ya Hispania pia.
Wrexham boss Parkinson joins Ferguson in 1000 club
-
Phil Parkinson is targeting a special piece of history with Wrexham this
season as he prepares for his 1,000th game in management against
Peterborough Unit...
FUFA President’s New Year Address
-
FUFA President Hon. Magogo Moses Hassim made his first address in the New
Year today in a press briefing held at FUFA Complex Mengo, giving an update
abo...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment