SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeithibitisha klabu ya DTB ya Dar es Salaam kupanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu unaitwa, 2022-2023. Hiyo ni baada ya DTB kufikisha pointi 65 kileleni mwa Championship, tatu zaidi ya Ihefu inayofuatia na nane zaidi ya Kitayosce inayoshika nafasi ya tatu kuelekea mechi mbili za nwisho. Timu mbili za juu Championship zitapanda Ligi Kuu moja kwa moja na mbili zitakwenda kumenyana na timu za Ligi Kuu kuwani kupanda.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment